‏ Isaiah 48:18

18 aLaiti ungesikiliza kwa makini maagizo yangu,
amani yako ingekuwa kama mto,
haki yako kama mawimbi ya bahari.
Copyright information for SwhNEN