‏ Isaiah 51:10

10 aSi ni wewe uliyekausha bahari,
maji ya kilindi kikuu,
uliyefanya barabara katika vilindi vya bahari
ili waliokombolewa wapate kuvuka?
Copyright information for SwhNEN