‏ Isaiah 51:15

15 aKwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako,
ambaye huisukasuka bahari ili mawimbi yake yangurume:
Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake.
Copyright information for SwhNEN