Isaiah 65:11
11 a“Bali kwenu ninyi mnaomwacha Bwana
na kuusahau mlima wangu mtakatifu,
ninyi mnaoandaa meza kwa ajili ya Bahati, ▼
▼Bahati alikuwa mungu wa Wakaldayo ambaye pia alijulikana kama Gadi.
na kujaza mabakuli ya mvinyo uliochanganywa
kwa ajili ya Ajali, ▼
▼Ajali au Meni alikuwa mungu wa majaliwa.
Copyright information for
SwhNEN