‏ Isaiah 66:12

12 aKwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:

“Nitamwongezea amani kama mto,
nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho;
utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake
na kubembelezwa magotini pake.
Copyright information for SwhNEN