‏ Jeremiah 15:19

19 aKwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana:

“Kama ukitubu, nitakurejeza
ili uweze kunitumikia;
kama ukinena maneno yenye maana,
wala si ya upuzi,
utakuwa mnenaji wangu.
Watu hawa ndio watakaokugeukia,
wala si wewe utakayewageukia wao.
Copyright information for SwhNEN