Jeremiah 30:14
14 aWale walioungana nawe wote wamekusahau,
hawajali chochote kukuhusu wewe.
Nimekupiga kama vile adui angelifanya,
na kukuadhibu kama vile mtu mkatili angelifanya,
kwa sababu hatia yako ni kubwa mno
na dhambi zako ni nyingi sana.
Copyright information for
SwhNEN