‏ Jeremiah 30:16


16 a“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa;
adui zako wote watakwenda uhamishoni.
Wale wote wakutekao nyara watatekwa nyara;
wote wakufanyao mateka nitawafanya mateka.
Copyright information for SwhNEN