‏ Jeremiah 31:10


10 a“Sikieni neno la Bwana, enyi mataifa,
litangazeni katika nchi za pwani ya mbali:
‘Yeye aliyewatawanya Israeli atawakusanya
na atalichunga kundi lake la kondoo kama mchungaji.’
Copyright information for SwhNEN