‏ Jeremiah 31:22

22 aUtatangatanga hata lini,
ee binti usiye mwaminifu?
Bwana ameumba kitu kipya duniani:
mwanamke atamlinda mwanaume.”
Copyright information for SwhNEN