Jeremiah 31:35
35 aHili ndilo asemalo Bwana,
yeye aliyeweka jua
liwake mchana,
yeye anayeamuru mwezi na nyota
kungʼaa usiku,
yeye aichafuaye bahari
ili mawimbi yake yangurume;
Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake:
Copyright information for
SwhNEN