Jeremiah 31:37
37 aHili ndilo asemalo Bwana:
“Ikiwa mbingu zilizo juu zitaweza kupimika
na misingi ya dunia chini
ikaweza kuchunguzwa,
ndipo nitakapowakataa wazao wote wa Israeli
kwa sababu ya yote waliyoyatenda,”
asema Bwana.
Copyright information for
SwhNEN