‏ Jeremiah 48:17

17 aOmbolezeni kwa ajili yake, ninyi nyote mnaomzunguka,
ninyi nyote mnaojua sifa zake,
semeni, ‘Tazama jinsi ilivyovunjika fimbo ya kifalme yenye nguvu,
tazama jinsi ilivyovunjika fimbo iliyotukuka!’
Copyright information for SwhNEN