‏ Jeremiah 51:15


15 a“Aliiumba dunia kwa uweza wake;
akaweka misingi ya ulimwengu kwa hekima yake
na akazitandaza mbingu kwa ufahamu wake.
Copyright information for SwhNEN