‏ Jeremiah 51:16

16 aAtoapo sauti yake, maji yaliyo katika mbingu hunguruma,
huyafanya mawingu yainuke kutoka miisho ya dunia.
Hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua,
naye huuleta upepo kutoka ghala zake.
Copyright information for SwhNEN