‏ Jeremiah 51:43

43 aMiji yake itakuwa ukiwa,
kame na jangwa,
nchi ambayo hakuna yeyote anayeishi ndani yake,
ambayo hakuna mtu anayepita humo.
Copyright information for SwhNEN