John 18:15
Petro Anamkana Yesu
(Mathayo 26:69-70; Marko 14:55-64; Luka 22:66-71)
15 aSimoni Petro pamoja na mwanafunzi mwingine walikuwa wakimfuata Yesu. Huyu mwanafunzi mwingine alikuwa anafahamika kwa kuhani mkuu, hivyo aliingia ndani ya ukumbi pamoja na Yesu.
Copyright information for
SwhNEN