Joshua 15:13
Nchi Aliyopewa Kalebu
(Waamuzi 1:11-15)
13 aKwa kufuata maagizo ya Bwana kwake, Yoshua alimpa Kalebu mwana wa Yefune sehemu katika Yuda: Kiriath-Arba, yaani Hebroni (Arba alikuwa baba wa zamani wa Anaki).
Copyright information for
SwhNEN