‏ Joshua 17:11

11 aKatika Isakari na Asheri Manase alikuwa na miji pia: Beth-Shani, Ibleamu na watu wa Dori,
Ndiyo Nafoth-Dori.
Endori, Taanaki na Megido, pamoja na vijiji vyote vinavyohusika na miji hiyo (ya tatu katika orodha ni Nafothi).
Copyright information for SwhNEN