‏ Joshua 18:28

28 aZela, Elefu, mji wa Wayebusi (yaani Yerusalemu), Gibea na Kiriathi; miji kumi na minne pamoja na vijiji vyake.
Huu ndio uliokuwa urithi wa Benyamini kwa ajili ya koo zake.

Copyright information for SwhNEN