‏ Joshua 23:7

7 aMsishirikiane na mataifa yaliyobakia katikati yenu, wala msiombe kwa majina ya miungu yao au kuapa kwayo. Msiitumikie wala kuisujudia.
Copyright information for SwhNEN