‏ Judges 17:2

2 aAkamwambia mama yake, “Zile shekeli 1,100
Shekeli 1,100 za fedha ni sawa na kilo 13 za fedha.
za fedha zilizochukuliwa kwako, ambazo nilisikia ukizinenea maneno ya laana, hizi hapa; mimi ndiye niliyezichukua, lakini sasa ninakurudishia.”

Ndipo mama yake akamwambia, “Bwana na akubariki, mwanangu.”

Copyright information for SwhNEN