Luke 18:31
Yesu Atabiri Kifo Chake Mara Ya Tatu
(Mathayo 20:17-19; Marko 10:32-34)
31 aYesu akawachukua wale wanafunzi wake kumi na wawili kando na kuwaambia, “Tunapanda kwenda Yerusalemu, na kila kitu kilichoandikwa na manabii kumhusu Mwana wa Adamu kitatimizwa.
Copyright information for
SwhNEN