‏ Matthew 23:4

4 aWao hufunga mizigo mikubwa na kuiweka mabegani mwa watu, lakini wao wenyewe hawako radhi hata kuinua kidole ili kuisogeza.

Copyright information for SwhNEN