Matthew 5:13
Chumvi Na Nuru
(Marko 9:50; Luka 14:34-35)
13 a “Ninyi ni chumvi ya ulimwengu. Lakini chumvi ikipoteza ladha yake, yawezaje kurudishiwa ladha yake tena? Haifai tena kwa kitu chochote, ila kutupwa nje ikanyagwe na watu.
Copyright information for
SwhNEN