‏ Numbers 13:17

17 aMose alipowatuma wakaipeleleze Kanaani, alisema, “Pandeni kupitia Negebu, mwende mpaka nchi ya vilima.
Copyright information for SwhNEN