‏ Numbers 14:45

45 aNdipo Waamaleki na Wakanaani walioishi katika hiyo nchi ya vilima wakateremka na kuwashambulia, wakawapiga njia yote hadi Horma.

Copyright information for SwhNEN