‏ Numbers 16:11

11 aWewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha Bwana. Aroni ni nani kwamba ninyi mnungʼunike dhidi yake?”

Copyright information for SwhNEN