Numbers 3:6-8
6 a“Walete watu wa kabila la Lawi mbele ya Aroni kuhani ili wamsaidie. 7 bWatafanya huduma kwa ajili yake na kwa jumuiya yote katika Hema la Kukutania kwa kufanya kazi za Maskani. 8Watatunza samani zote za Hema la Kukutania, wakitimiza wajibu wa kuhudumia Waisraeli kwa kufanya kazi ya Maskani.
Copyright information for
SwhNEN