Psalms 18:1
Wimbo Wa Daudi Wa Ushindi
(2 Samweli 22:1-51)
Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi mtumishi wa Bwana aliyomwimbia Bwana wakati Bwana alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli. Alisema hivi:
1 aNakupenda wewe, Ee Bwana,nguvu yangu.
Copyright information for
SwhNEN